Dayna Nyange – Komela Lyrics ft Billnass 64

Bill Nas

Hakuna zawadi nzuri kama upendo
Hakuna ahadi nzuri kama vitendo
Kunijali hata nkiwa sina
Ilihali hata bila jina

Dyna Nyange

Kila nikiwaza
Unanifanya mi nikose nakosa raha
Kwa vile nakudata unanifanya niwe mnyonge
Na naumia rohoo nakuwaza
Bila wewe sina tabasamu ooh
Nakugonza bila wewe sina tabasamu
Nakudata data natamani ila moyo wangu unasita
Nananachowaza waza ntaonaje na moyo umejificha

Loading...

Hook

Oooooh oooh
Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo
Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo
Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo
Babe komela ndani kwa ndani nikomele

Bill Nas

Uenda ikawa unanipenda kuliko unavyodhani
Maana unahofia kutendwa
Unaishia kutamani
Unahitaji faraja na kwenda faragha pia
Sitohitaji darasa ili ujue nakuzimia
Mi siamini niko peke yangu na wewe uamini
Juu ya nafsi na upendo wangu
Nipe nafasi nzuri ya moyo wako
Nione fahari tu mi niwe wako
Twende mbali yani kila dinner
Mida flani mida mida ya midnight
Moyo wako moyo wako
Moyo wako moyo wako

Hook

Oooooh oooh
Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo
Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo
Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo
Babe komela ndani kwa ndani nikomele
Dyna Nyange & Bill Nas
Show me what you got
show me what you got
show me what you got
(Show me what got ma)
Give me what you got
Give me what you got
Give me what you got
(Give me what got ma)
Show me what you got
show me what you got
show me what you got
(Show me what got ma)
Give me what you got
Give me what you got
Give me what you got
(Give me what got now)

Hook

Oooooh oooh
Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo
Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo
Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo
Babe komela ndani kwa ndani nikomele ooooh ohoo
Bill Nas Bill nas
Oooooh oooh
Nyomela nyomela yote sababu ya pendo lako ohohoo
Nyomela nyomela hakika kwako nimesettle ohohoo
Konko komela ndani kwa ndani nikomele ohoo
Babe komela ndani kwa ndani nikomele ohoo ohoo
Ohoo ohooo
Ohoo ohooo
Ohoo ohooo

Theme developed by TouchSize - Premium WordPress Themes and Websites